VIONEX TRADERS COMPANY LIMITED Premium Online Store
Maswali & Majibu

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara

Haya ni maswali yanayoulizwa mara kwa mara kuhusu huduma za VIONEX TRADERS COMPANY LTD. Lengo letu ni kukupa uelewa kamili na uzoefu salama wa matumizi ya mfumo wetu.

💳

Je, ninawezaje kufanya malipo?

Malipo yote hufanyika kupitia mfumo wa USSD (Mobile Money) unaoungwa mkono na VIONEX TRADERS COMPANY LTD kwa usalama na uthibitisho wa haraka.
🚚

Delivery fee ni kiasi gani?

Ada ya usafirishaji ni asilimia 10% ya thamani ya bidhaa uliyoagiza, kulingana na eneo la usafirishaji.
📦

Nawezaje kufuatilia mzigo wangu?

Unaweza kufuatilia mzigo wako kupitia menu ya “Track Mzigo” au kwa kutumia QR Code iliyopo kwenye risiti yako.
🧾

Je, risiti ninayopewa ni halali?

Ndio. Kila risiti ina QR Code ya uthibitisho mtandaoni inayokuwezesha kuhakiki uhalali wake muda wowote.

Unahitaji Msaada Zaidi?

Ikiwa una swali lolote ambalo halipo hapa, tafadhali wasiliana na timu yetu ya msaada. Tupo tayari kukusaidia muda wowote.