Usalama & Uaminifu
Safety Tips
VIONEX TRADERS LTD tunathamini usalama wako. Fuata maelekezo haya ili kulinda akaunti yako dhidi ya udanganyifu.
Usimpe mtu yeyote OTP, namba ya siri au taarifa zozote
za uthibitisho hata kama anajitambulisha kuwa mfanyakazi wa VIONEX.
Hakikisha unafanya malipo kupitia mfumo rasmi wa
VIONEX TRADERS LTD ili kulinda fedha zako.
Pokea na hifadhi risiti ya malipo yako kama
uthibitisho wa muamala.
Epuka kutuma pesa kwa akaunti binafsi au
kufuata maelekezo yasiyo rasmi.
Ripoti haraka tukio lolote la kutia shaka
kupitia huduma ya msaada ya VIONEX.
Ahadi Yetu
Tunatumia mifumo salama ya malipo na teknolojia ya kisasa kuhakikisha usalama wa taarifa zako na fedha zako.