Pata Fundi Aliyehakikiwa (Verified)
Mfumo salama: mafundi wanapitia verification kabla ya kuonekana kwa wateja.
*Unahitaji akaunti ili kuomba fundi au kujisajili kama fundi.
Kwa Wateja
- Jisajili / Ingia
- Chagua huduma + eneo
- Tuma ombi (request)
- Pokea offers kutoka kwa mafundi
- Chagua fundi mmoja na uanze kazi
Kwa Mafundi
- Jisajili / Ingia
- Jaza Fundi Profile
- Upload NIDA + Selfie (Verification)
- Subiri approval ya VIONEX
- Pokea kazi na tuma offer